mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
haaa sijakuelewa sistermzibua chemba hii ID na avatar yako ni kana ngenge na kukata shoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaa sijakuelewa sistermzibua chemba hii ID na avatar yako ni kana ngenge na kukata shoka.
Bwana mwisho wa siku kila mtu atakufa, tutakutana kwa Sir God. Lakini ninajitahidi kuonyesha na ushahidi. Kila mtu mzima anaefikisha miaka 18 na kuendelea, mwenye akili timamu ana uwezo wa kuamua maisha yake baada ya kupata maelezo na ushauri.Wanaosema ukimwi haupo wewe unawashaurije?
hivi siku hizi Kuna watu wananyanyapaa mgonjwa wa ukimwi coz siku hizi ni wachache sana wanaokonda kama zamaniWatu wengi wanapenda kuweka siri katika status yao endapo watakuwa waathirika, ni vyema kabisa kufanya hivyo kuepuka kunyanyapaliwa na jamii. Hata hivyo ukihitaji matibabu ya aina yeyote ile, ni vyema umfahamishe daktari anaekutibu juu ya hili. Kuna dawa ambazo haziingiliani vizuri na ARV's.
Sorry Makuta ndugu yako alikuwa wapi kabla ya kuletwa darYaani aligoma kabisa,mpaka siku anaenda kuchukuliwa anapelekwa dar ilikua too late,yaani hata huitaji kuambiwa anaumwa nini,vidonda kinywani kibao,mwili umepungua kabisa kabaki kama skeleton na alikua na mwili mkubwa,ndo hivyo tushamzika kitambo tu.
Akiwa kwenye ARV's hawezi kukuambukiza bwana.
MbeyaSorry
Sorry Makuta ndugu yako alikuwa wapi kabla ya kuletwa dar
Alikua Dar,Mbeya alienda kimasomo,chuo cha Uhasibu, alipomaliza kwa bahati alipata kazi huko huko na maisha alianza huko huko,na alishakua kama mwenyeji ndo maana nahisi alikua mgumu kurudi bongo.Sorry
Sorry Makuta ndugu yako alikuwa wapi kabla ya kuletwa dar