HIV, AIDS cure news 2016: Viable cure still elusive, experts say

HIV, AIDS cure news 2016: Viable cure still elusive, experts say

Wanaosema ukimwi haupo wewe unawashaurije?
Bwana mwisho wa siku kila mtu atakufa, tutakutana kwa Sir God. Lakini ninajitahidi kuonyesha na ushahidi. Kila mtu mzima anaefikisha miaka 18 na kuendelea, mwenye akili timamu ana uwezo wa kuamua maisha yake baada ya kupata maelezo na ushauri.
 
Watu wengi wanapenda kuweka siri katika status yao endapo watakuwa waathirika, ni vyema kabisa kufanya hivyo kuepuka kunyanyapaliwa na jamii. Hata hivyo ukihitaji matibabu ya aina yeyote ile, ni vyema umfahamishe daktari anaekutibu juu ya hili. Kuna dawa ambazo haziingiliani vizuri na ARV's.
 
hivi siku hizi Kuna watu wananyanyapaa mgonjwa wa ukimwi coz siku hizi ni wachache sana wanaokonda kama zamani
 
Sorry
Yaani aligoma kabisa,mpaka siku anaenda kuchukuliwa anapelekwa dar ilikua too late,yaani hata huitaji kuambiwa anaumwa nini,vidonda kinywani kibao,mwili umepungua kabisa kabaki kama skeleton na alikua na mwili mkubwa,ndo hivyo tushamzika kitambo tu.
Sorry Makuta ndugu yako alikuwa wapi kabla ya kuletwa dar
 
This is only for people with undetectable viral load.Most of our patients viral loads zao ni detectable , angalia dokta watu watamisuse statement yako
Asante .sana.
 
hivi siku hizi Kuna watu wananyanyapaa mgonjwa wa ukimwi coz siku hizi ni wachache sana wanaokonda kama zamani
Kuna mtu aliniambia baada ya kugundulika alimfahamisha kaka yake, alipigwa marufuku kutumia choo na watoto.
 
Sorry

Sorry Makuta ndugu yako alikuwa wapi kabla ya kuletwa dar
Alikua Dar,Mbeya alienda kimasomo,chuo cha Uhasibu, alipomaliza kwa bahati alipata kazi huko huko na maisha alianza huko huko,na alishakua kama mwenyeji ndo maana nahisi alikua mgumu kurudi bongo.
 
Back
Top Bottom