sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Wakuu habari za mda huu hili jambo nimelifiliria nikaona ni tatizo kubwa sana ambalo limetengenezwa kwenye jamii kwanini tunafundishwa kuogopa mgonjwa wa ukimwi ?
Yaani mtu akigundua unafukuzia mtu mwenye ukimwi utatishwa mno kuwa pale sio utaingua je wenye maambukizi hawapaswi kuoa au kuolewa au kushiriki kwenye tendo la NGONO ?
Kuwatenga ivyo hatuoni tuna wanyima haki za msingi sana
Na je kwanini nao wanakuwa hawako civilized kiasi Cha wakipata ukimwi Wana kata tamaa baadhi wanaamua kulipiza kwa kuusambaza ?
Nafikiri elimu ya guidance itolewe kwa nguvu kubwa pia counseling ufanye ipasavyo na wataalam kwa waliopata Hilo tatizo na jamii pia itoe izo negative mindset kuhusu watu wenye HIV+ sio wote waliupata kwa umalaya
POSITIVE IS NORMAL