Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwenye mambo ya public health mambo ni magumu, ni delicate na ni sensitive.Yaani Kuna utamaduni ni wa kijinga kabisa na Wala hauna maana na watu wame normalize
Mimi napinga institutional marginalization of people with HIV/ AIDS. Kuwatenga kimfumo, kufundisha kuwatenga etc.
Lakini pia, kwa mtu binafsi, mtu binafsi ana haki na uhuru wa kuamua awe na nani na asiwe na nani, kwa sababu yoyote au bila sababu.