Kwenye mambo ya public health mambo ni magumu, ni delicate na ni sensitive.Yaani Kuna utamaduni ni wa kijinga kabisa na Wala hauna maana na watu wame normalize
Sasa mtaenda kupima ili iweje wakati unaelewa kabisa anaishi na miwaya???Ndiyo nitaendelea mkuu na akinikubalia nitamueleza wazi kuwa inatakiwa tupime na nitamwambia awe huru sana
Ndiyo nitaendelea mkuu na akinikubalia nitamueleza wazi kuwa inatakiwa tupime na nitamwambia awe huru sanat
Ndiyo nitaendelea mkuu na akinikubalia nitamueleza wazi kuwa inatakiwa tupime na nitamwambia awe huru sana
Akili yako ni ndogo sana mkuuSasa mtaenda kupima ili iweje wakati unaelewa kabisa anaishi na miwaya???
Hivi unaujua Ukimwi??????
Binafsi nahisi unasumbuliwa na bange.
Yaani mtu kagawa uroda wake bila tahadhari matokeo yake kaunasa Ukimwi halafu utwambie tumpende asiyejipenda mwenyewe???
You must be crazy π§π§π§