Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Wazaramo habari zenu.
Sisi wa bara Tulivyokuja huku pwani ya Dar-es-salaam ndio tukajua hii mboga inaitwa dagaa mchele.
Sawa tunajua kwenye utafutaji kigetogeto lazima ushawahi kula sana Dagaa mchele, mixer tembele na ugali.
Sasa leo nimewaza na nimeumia sana juu ya aina ya ulaji wetu sisi wasaka nyoka aka watu wa hali ya chini.
Naomba kuuliza, Dagaa mchele zina kirutubisho gani mwilini, je ni vile vile virutubisho vya sato au sangara au aina ya samaki yoyote au kuna ziada ambayo mimi siijui.
Lakini nasikia pia dagaa mchele huwa wanachemshwa mixer viazi na inakuwa mboga nzuri tu, sasa nataka kujua ina virutubisho gani.
Habari bila picha ni umbea.
Nawasilisha
.