Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Miguu ya kuku hasa broiller ni starehe yangu hiyo.Mkuu naona mwenzetu umejipata,
Sisi bado tunakomaa na utumbo wa Kuku na Miguu yake.
Sili kutafuta shibe hapana ninakula kwa ajili starehe.
Vikaagwe kwa mafuta halisi ya mboga, vikauke visiungue, chumvi wastani, kwa idadi yoyote itakayoandaliwa navimaliza swee!