Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Miguu ya kuku hasa broiller ni starehe yangu hiyo.Mkuu naona mwenzetu umejipata,
Sisi bado tunakomaa na utumbo wa Kuku na Miguu yake.
Kilo ya dagaa nyama ni zaidi ya kilo ya nyama ni gharama sanaUtaambiwa tafuta hela hamna kitu inaitwa dagaa nyama 😂😂😂..
Nyama nyama na dagaa ni dagaa ni katika kujirariji wakata ufuta wakachomekea nyama kwenye neno dagaa
Wa baharini wana Iron kwa wingi.
Duh! Any way wana madini chuma ambayo husaidia kuimarisha mifupa kama unadhani inaongeza nguvu za kiume imekula kwako ukitaka kuwa na nguvu za kiume kula samaki aina ya sato basi.
Huku kwetu kula dagaa ni anasa bei Iko juu kama nyama. Hauwezi kuthubutu kutafuna na mihogo asubuhiWale na Mihogo Asubuh utakuja kunishukuru.
Sasa mbona huwa tunaambiwa mtu anaepungukiwa damu supu ya dagaa yafaa kwakeIron ??
Au Calcium ??
Muwe na uhakika na mnayoandika ili kuepusha upotoshaji.
Kwa hiyo mtu mwenye upungufu wa damu akila hizo dagaa mara kwa mara atapona na kiwango cha damu kumrejea. ??
Sasa mbona huwa tunaambiwa mtu anaepungukiwa damu supu ya dagaa yafaa kwake
Dagaa husaidia kutengeneza Red blood cells coz Dagaa zina Vitamin B12 husaidia kusafirisha damu kuzunguka mwili ''Blood circulation''Sasa mbona huwa tunaambiwa mtu anaepungukiwa damu supu ya dagaa yafaa kwake
Acha tuendelee kuwala, then tutakunywa citrizen kupunguza ukali wa kamasiDagaa husaidia kutengeneza Red blood cells coz Dagaa zina Vitamin B12 husaidia kusafirisha damu kuzunguka mwili ''Blood circulation''
Dagaa zina Calcium,jukumu la Calcium ni kusaidia afya ya mifupa,Dagaa zinaweza kua mbadala wa maziwa kama mtu hapendi kutumia maziwa,
Dagaa zina kiwango kikubwa cha protini,protini ni nzuri kwa ujenzi wa misuli ya mwili,Dagaa humpunguzia mtu hamu ya kutamani kutumia sukari,Dagaa zina vitamini na madini pia,
Dagaa ni chanzo kizuri cha mafuta ya Omega-3 ambayo husaidia kinga ya moyo dhidi ya Shinikizo la damu,Atherosclerosis na thrombosis.
Shukrani sana, Jibu Zuri mnooooooDagaa husaidia kutengeneza Red blood cells coz Dagaa zina Vitamin B12 husaidia kusafirisha damu kuzunguka mwili ''Blood circulation''