Doctor William Mtanzania
New Member
- Nov 10, 2023
- 3
- 306
- HIV ni kirusi ambacho hadi leo hakijawahi kuonekana umbile lake sababu kinauwezo wa kugeuza na kubadilika zaidi ya maumbile 360.
- HIV ukiipata leo, itakuchukua WIKI moja ndio ionekane kwenye mwili wako na itachukua miaka 3-5 ndio ujitambua una HIV
- HIV ukiishi nayo bila kuitibu, kama unajijua itakuchukua miaka 7 ule mwaka wa 8 na 9 inakuwa haitibiki tena na ndio mwisho wako wa maisha.
- Ila kama utajijua una HIV na ukawa unatibu kwa dawa mchanganyiko itakuchukua mdaa usiozidi miaka 10 hadi 15 ndipo uanze kuzidiwa.
- Ukijijua una HIV na ukaanza kutumia dose ya ARV itakuchukua miaka 17 hadi 20 ila wengine fukia hadi 25/30 hii kitaalamu huitwa grace people amboa ni hadimu sana sababu figo na ini zao huwa imara , na hapo ni figo hazijazidiwa na ukali wa sumu za Arv kuendelea kuishi kwa mdaa mrefu kama huo ila ikiisha hiyi miaka dawa na mwili wako vinaanza kupishana nguvu hivyo hapo unaanza kuyumbishwa na magonjwa mengine sugu ya mwili.
- Adui mkubwa wa Arvs ni Figo pale figo zikiisha anza kuzidiwa huzalisha magonjwa ya pembeni ambayo hayo ndio huja kumua mgonjwa wa HIV
- Baada ya mdaa figo kuzidiwa huanza kuzalisha ugonjwa wa pressure , baadaye ngozi, baadaye kisukari, baadaye kifua, n.k taratibu ugonjwa mdogomdogo utaanza na mwingine utatibika au kuna baadaye utapata maambukizi yasiotibika kabisa moja kwa moja.
- Hivyo asilimia 90% ya wagonjwa wa HIV hawafi kutokana na HIV bali wanakufa kutokana na figo au ini kuzidiwa na sumu kali ya dawa wanazotumia kwa mdaa mrefu na magonjwa yalichipua.
ZINGATIA MTU ANAYETUMIA Arvs ni kawaida kuwa na
- Hasira
- Mkali
- Katili
- Mwoga
- Hofu na mashaka
- Hamu ya kula sana hasa akikosa chakula n.k