Hiv ni kwanini wazazi mnatusumbua kwa swala la ndoa?

Hiv ni kwanini wazazi mnatusumbua kwa swala la ndoa?

Yani mm kila nnapokuwa nyumban ama hata nikawasiliana na wazazi wangu. neno mwali unaleta nn ndio imekuwa kama salamu.hata saiv sina taimu nao maana wananizingua mno.acha nikae pemben maana ngoma hilo siyo mchezo.
Hatutaki muwe mashoga au mazezeta na mazwazwa ya kuhifadhiwa na mishangazi na kupotea.
 
Utamaduni wa Africa hauruhusu sana maamuzi binafsi ya mtu, pia kwa Waafrika kuoa ni kama jambo la lazima na linalohesabiwa kuwa mafanikio.

Kwa Waafrika mtu kama Oprah Winfrey, DiCaprio, Dolly Parton, John Cena, Ian Khama, Jan Koum, Reid Hoffman na wengine wasio na mke au watoto hawana mafanikio.
 
Yani mm kila nnapokuwa nyumban ama hata nikawasiliana na wazazi wangu. neno mwali unaleta nn ndio imekuwa kama salamu.hata saiv sina taimu nao maana wananizingua mno.acha nikae pemben maana ngoma hilo siyo mchezo.
Wazazi wako wanakuonea bure tu. Badala ya kuandika nini unaandika nn, mimi unaandika mm, kwa uandishi huu utaziweza mbilinge za ndoa?

Wazazi wako wasuburi ukuekue kidogo
 
Yani mm kila nnapokuwa nyumban ama hata nikawasiliana na wazazi wangu. neno mwali unaleta nn ndio imekuwa kama salamu.hata saiv sina taimu nao maana wananizingua mno.acha nikae pemben maana ngoma hilo siyo mchezo.
Wana wasiwasi na uanaume wako, badala ya kukuuliza kama unasimamisha wanatumia lugha ya tafsida, hueleweki.
 
Yani mm kila nnapokuwa nyumban ama hata nikawasiliana na wazazi wangu. neno mwali unaleta nn ndio imekuwa kama salamu.hata saiv sina taimu nao maana wananizingua mno.acha nikae pemben maana ngoma hilo siyo mchezo.
Siku ukiwa mzazi utaelewa umuhimu wa ndoa na familia,ila kwa kua upofu wa ujana umekupofusha endelea kujipa moyo.
 
Kwa ufupi wazazi wanatutakia mema siku zote,mkuu iko hivi.
-Dini zote zinaamini ndoa ni moja ya sababu wa kuwepo hapa duniani(mwanaume oa na mwanamke olewa.TRUTH NEVER CHANGE).

-Ndoa inaashiria ukuaji wako,maamuzi,tabia zako halisi n.k.

-Ndoa ni Baraka:-hii ni kweli kabisa na nimeona mifano kadhaa,lakini hapa siwaongelei wanawake weny hekaheka za kijingajinga kama BICHWA KOMWE- 😂😂😂.

-Ndoa inamchango mzuri katika kutoa malezi bora kwa familia kama watoto na hata wazee ikiwa utaishi nao,ni jinsi utakavyochagua driving speed na mwenzi wako.

-Ndoa ni Ibada katika dini zote:-ni vile Dunia imekuwa na wapumbavu wengi.

Yote ya yote tupo wanaume tunatamani sana ndoa japo mihemko haitakiwa huwa na nafasi katika hii selection,kunawakati ni rahisi sana kupoteza kila kitu.

VIJANA SIDHANI KAMA IPO NJIA YA KUBADIRISHA UKWELI KUHUSIANA NA NDOA,shida kubwa ni wengi wetu tunapenda vifua vizuri,rangi kama ya aunt yangu Binti wa zamani.

Hata huyo anayetunzwa na Gunner11 na sio rahisi ila ni matunzo tu na ndio moja ya vitu ambavyo wanaume tunapaswa kuvifanya juu yao.

hivyo sidhani kama mzazi wako analosea kufanya hivyo maana huenda hata baba na mama yako walioana ndio ukazaliwa wewe,waulize waliozaliwa kwa ngono ya muda mchache then baba akapita hivi na mama akaelekea kule.

Lakini wazazi pia msipende kutusimanga,wanawake wenyewe wa kuoa saivi ni wa kumulika kwa tochi,sio kama enzi zenu wazee.
 
Back
Top Bottom