Hiv ni kwanini wazazi mnatusumbua kwa swala la ndoa?

Wanataka wajukuu wa kucheza nao babu Grahams atafafanua zaidi hili.

Mama aniambii direct ila ataingiza habari za vijana ndugu zangu wanaotarajia kufunga ndoa alafu ataniambia muda hausubiri mwanangu si unaona wenzio
Wazazi wote kipaumbele chao ni kuona Wajukuu kupitia uzao wa watoto wao

Mimi pia na bibi yenu, tumekuwa tukimuhimiza first born wetu aoe ili tupate wajukuu, lakini bwana mdogo amegoma kabisa

Bila wajukuu kutoka JF, huenda tungekosa kabisa kupata mtu wa kutuletea Kiko huku kijijini 🤭

BTW, kama Uchumi unaruhusu jitahidi uoe Mkuu, wazazi huwa wanakufa na vinyongo iwapo hadi wanafikia hali ya umauti wakashindwa kuona Wajukuu kutoka kwa watoto wao 🥲
 
Wajukuu wa jf wanakubalika hadi mtaani?

Panapo majaaliwa mwakani mapema kabisa nami nitaitwa baba fulani naomba uzima uendelee kuwepo kwa familia wampokee member mpya kwenye familia.
 
Hongera kwa hayo maamuzi, huo ndiyo uanamme.

Wanaume tunapimwa kutokana na uwezo wa kubeba majukumu kama hivyo

Huyo mjukuu, nitamwandalia zawadi ya diapers kutoka kwa Babu yake hapa
 
Back
Top Bottom