StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
🤣🤣🤣🤣🤣. Mkuu unaonekana upo sensitive Sana. Umefuatilia hadi nn na mm🤣🤣🤣🤣🤣Wazazi wako wanakuonea bure tu. Badala ya kuandika nini unaandika nn, mimi unaandika mm, kwa uandishi huu utaziweza mbilinge za ndoa?
Wazazi wako wasuburi ukuekue kidogo
😄wazazi wako wanahofia labda ushaaga mashindano, si unaelewa vijana wa saivi hamchelewi eeh
au nakosea ndugu yangu😆
🤣🤣🤣wazazi wako ni kama mama yanguYani mm kila nnapokuwa nyumban ama hata nikawasiliana na wazazi wangu. neno mwali unaleta nn ndio imekuwa kama salamu.hata saiv sina taimu nao maana wananizingua mno.acha nikae pemben maana ngoma hilo siyo mchezo.
Haukosei hata maama!!....😀😀😀au nakosea ndugu yangu😆
Wazazi wote kipaumbele chao ni kuona Wajukuu kupitia uzao wa watoto waoWanataka wajukuu wa kucheza nao babu Grahams atafafanua zaidi hili.
Mama aniambii direct ila ataingiza habari za vijana ndugu zangu wanaotarajia kufunga ndoa alafu ataniambia muda hausubiri mwanangu si unaona wenzio
AhahahaqaUkifuga mbuye tunakuweka ndani mara moja huwezi kudhihaki huku unafanya lesbenia
Wajukuu wa jf wanakubalika hadi mtaani?Wazazi wote kipaumbele chao ni kuona Wajukuu kupitia uzao wa watoto wao
Mimi pia na bibi yenu, tumekuwa tukimuhimiza first born wetu aoe ili tupate wajukuu, lakini bwana mdogo amegoma kabisa
Bila wajukuu kutoka JF, huenda tungekosa kabisa kupata mtu wa kutuletea Kiko huku kijijini 🤭
BTW, kama Uchumi unaruhusu jitahidi uoe Mkuu, wazazi huwa wanakufa na vinyongo iwapo hadi wanafikia hali ya umauti wakashindwa kuona Wajukuu kutoka kwa watoto wao 🥲
Hongera kwa hayo maamuzi, huo ndiyo uanamme.Wajukuu wa jf wanakubalika hadi mtaani?
Panapo majaaliwa mwakani mapema kabisa nami nitaitwa baba fulani naomba uzima uendelee kuwepo kwa familia wampokee member mpya kwenye familia.
Mmmh shemejiWanataka wamjue mtu unayedinyana naye...
Aoe ili mke ampe morale ya kutafuta pesa zaidi.Wanawake wenyewe siku hizi wengi wao ni pesa mbele, ukisema uoe labda ujitoe tu ufahamu, ila moyoni unajua hapa sina mtu kabisa.
Mmmh shemeji
Ww nakukagua ndani na njeShemela ulitakiwa upite kama unafanya ukaguzi wa hesabu za ndani...😃
Naomba Mungu anisimamie kila kitu kiwe sawa.Hongera kwa hayo maamuzi, huo ndiyo uanamme.
Wanaume tunapimwa kutokana na uwezo wa kubeba majukumu kama hivyo
Huyo mjukuu, nitamwandalia zawadi ya diapers kutoka kwa Babu yake hapa
Ww nakukagua ndani na nje
Kila la heri MkuuNaomba Mungu anisimamie kila kitu kiwe sawa.
Hahaha shukrani sana babu
Ulivyoguna kama unaogopa kweli vile🤣Huu ukaguzi shemela mmh!!