Najikita kwenye swali langu moja kwa moja bila kupoteza wakati.
>>Nilifanya kipimo cha hiv test cha bio line. Nikasoma majibu ndan ya dk5 hadi 50 the answer wasa negative kwa maana ya line moja kuonekana kwenye control test(C).
>>kesho yake asubuhi nilipokiangalia kipimo husika kilinipa majibu mengne kwa maana kwamba other two weak lines appeared at 1 and 2.
>>
So ni amjaibu gani sahihi kati ya yale ya awali na yale ya mwisho??