Hiv test (bi-oline)

Hiv test (bi-oline)

Tunataka kujua tu kwa nini waathirika wengi wanakuwa na hasira za hali ya juu na za karibu sana that's why tukauliza mkuu...?
Mkuu....
Wewe ni mchochezi wa polepole..[emoji12] [emoji12]
 
Jamaniee hili jukwaa siyo la mateja. Kama mtu hujui kitu usichangie kitu kwanza hatuhitaji kukujuwa na hatutahitaji kabisa. Unakuta jitu zima limebugia ugolo linachangia upuuzi na halijui chochote. Jukwaa la ugolo cyo hili ebu tusianze kuchefuana.

Hili jukwaa lina sifa zake ndo maana likaitwa hivi. Wito wangu kwa wale wabugia ugolo piteni mbali na jukwaa hili hatutak utumbo wenu wa fb na whatssapp. Mkomee!!
Usijikute mwenyeji wakati ndii kwanza umejiunga 2018 tulia upewe ushauri nasaha dogo!...karibu JF
Hongera kwa kupima na Hasira ni kawaida yenu pia!!..
 
Hamna mkuu.

Sie tumeuliza tu ili kujua hiyo hali kwa nini inakuwepo kwa waathirika wengi kiongozi.

Wala hatumjaribu mkuu.

Kasema nyote mnaouliza hilo swali ni mateja.

Ha ha ha, ngoma si mchezo, jamaa ana hasira kama nini.
 
Back
Top Bottom