Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Mkuu....Tunataka kujua tu kwa nini waathirika wengi wanakuwa na hasira za hali ya juu na za karibu sana that's why tukauliza mkuu...?
Wewe ni mchochezi wa polepole..[emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu....Tunataka kujua tu kwa nini waathirika wengi wanakuwa na hasira za hali ya juu na za karibu sana that's why tukauliza mkuu...?
Yaani wanakuaga wakali hadi tunawaogopa haki....Tulia upewe mshauri mkuu mbona unakuwa mkali?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mnachokitafuta kwa jamaa mtakipata.
Nyie mjaribuni tu.
Usijikute mwenyeji wakati ndii kwanza umejiunga 2018 tulia upewe ushauri nasaha dogo!...karibu JFJamaniee hili jukwaa siyo la mateja. Kama mtu hujui kitu usichangie kitu kwanza hatuhitaji kukujuwa na hatutahitaji kabisa. Unakuta jitu zima limebugia ugolo linachangia upuuzi na halijui chochote. Jukwaa la ugolo cyo hili ebu tusianze kuchefuana.
Hili jukwaa lina sifa zake ndo maana likaitwa hivi. Wito wangu kwa wale wabugia ugolo piteni mbali na jukwaa hili hatutak utumbo wenu wa fb na whatssapp. Mkomee!!
Mnachokitafuta kwa jamaa mtakipata.
Nyie mjaribuni tu.
Mkuu....
Wewe ni mchochezi wa polepole..[emoji12] [emoji12]
Hamna mkuu.
Sie tumeuliza tu ili kujua hiyo hali kwa nini inakuwepo kwa waathirika wengi kiongozi.
Wala hatumjaribu mkuu.