Usimfariji huyu akachelewa kutumia dawa. Mungu aepushie mbali.wanadai majibu yanayosomwa Ndani ya dk 5 ndo sahihi inavyoendelea kukaa mda reaction inazidi fanyika pamoja na vijidudu kijaingia humo
Kama huna hoja kaa kimya kwan lazma unijibu utumbo wako huo kachunge ng'ombe hukoUsimfariji huyu akachelewa kutumia dawa. Mungu aepushie mbali.
Nenda kwa vipimo zaidi mkuu wakarudie.
Tatizo unataka majibu ya kujifariji. Ngoma haina masihara hata ukikasirika haisaidii na mimi siwezi kukupa majibu ya kukufariji. Rudia kupima.Kama huna hoja kaa kimya kwan lazma unijibu utumbo wako huo kachunge ng'ombe huko
Achaana na mm bwege naziTatizo unataka majibu ya kujifariji. Ngoma haina masihara hata ukikasirika haisaidii na mimi siwezi kukupa majibu ya kukufariji. Rudia kupima.
Utabembelezwa na mpenzi wako mkuu hapa umefuata ushauri wangu ndio huo
Acha ngono zembe na chukua ushauri wangu bwege wewe unadhani hadi unaenda kupima si ushajihisi.Achaana na mm bwege nazi
Acha ngono zembe na chukua ushauri wangu bwege wewe unadhani hadi unaenda kupima si ushajihisi.
Yanatofautiana mkuuHivi maji ya kutumia kwenye Uni-Gold ndio hayo hayo ya kwenye bio-line au yapo tofauti?
Msamehe bro watu wenye ngoma huwa wanakuwa na hasira sana.
Huyo jamaa tayari.
Safi sana.Kama huna hoja kaa kimya kwan lazma unijibu utumbo wako huo kachunge ng'ombe huko
wanadai majibu yanayosomwa Ndani ya dk 5 ndo sahihi inavyoendelea kukaa mda reaction inazidi fanyika pamoja na vijidudu kijaingia humo
Usimfariji huyu akachelewa kutumia dawa. Mungu aepushie mbali.
Nenda kwa vipimo zaidi mkuu wakarudie.
Kama huna hoja kaa kimya kwan lazma unijibu utumbo wako huo kachunge ng'ombe huko
Tatizo unataka majibu ya kujifariji. Ngoma haina masihara hata ukikasirika haisaidii na mimi siwezi kukupa majibu ya kukufariji. Rudia kupima.
Utabembelezwa na mpenzi wako mkuu hapa umefuata ushauri wangu ndio huo
Naskia mtu akikuwa +HIV, wanakuaga na hasira sana.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Achaana na mm bwege nazi
Halaf nilitaka kuuliza hili swali hivi kwa nini waathirika wanakuwa na hasira Za karibu sana wakuu...?
Naomba kufahamishwa tu kwa anayejua wandugu. Thanks.
Naskia mtu akikuwa +HIV, wanakuaga na hasira sana.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
wanakuwa na msongoHalaf nilitaka kuuliza hili swali hivi kwa nini waathirika wanakuwa na hasira Za karibu sana wakuu...?
Naomba kufahamishwa tu kwa anayejua wandugu. Thanks.
watakuwa wana maanisha jamaa ndo basi tena. ana wadudu a.k.a ngoma nzito.Kwa hiyo nyie jamaa mnataka kusemaje?