Hiv test (bi-oline)

Pole sana naomba nikujibu swali lako ni rahisi tuu

Sd bioline 3.0 hiv 1/2 unatakiwa kusoma majibu ndani ya dakika 10 mpk 20 tuu ukisha soma tupa hiko kifaa maana ukiendelea kukaa nacho muda mrefu kinachofanya ni kwamba zile band line za positive zita kauka halafu itaonesha kama ni positive ila inakua sio sababu ya muda umezidi oky aliyekupatia au kukuuzia alitakiwa kukwambia hivo sababu utaanza ku sweat na kupata mawazo mengi kumbe majibu yako ni negative oky
 
Nataka waaomi kama wewe na isitoshe nilienda kupata maelezo kama yako na nilitumia unigold majibu yako sawa kabisaa. Kuna mijinga michache ambayo hata elimu hayana afu yanachangia ujinga kwenye jukwaa la wasomi kama wewe. Big up sana mkuuu
 
Nataka waaomi kama wewe na isitoshe nilienda kupata maelezo kama yako na nilitumia unigold majibu yako sawa kabisaa. Kuna mijinga michache ambayo hata elimu hayana afu yanachangia ujinga kwenye jukwaa la wasomi kama wewe. Big up sana mkuuu
Ok sawa mkuu kuwa na amani pia karibu na dispensary kwetu maeneo ya buguruni tutakupa elimu nzuri zaidi juu ya virusi vya ukimwi oky
 
Jamaniee hili jukwaa siyo la mateja. Kama mtu hujui kitu usichangie kitu kwanza hatuhitaji kukujuwa na hatutahitaji kabisa. Unakuta jitu zima limebugia ugolo linachangia upuuzi na halijui chochote. Jukwaa la ugolo cyo hili ebu tusianze kuchefuana.

Hili jukwaa lina sifa zake ndo maana likaitwa hivi. Wito wangu kwa wale wabugia ugolo piteni mbali na jukwaa hili hatutak utumbo wenu wa fb na whatssapp. Mkomee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…