Hiv test within 24 hrs?

Hiv test within 24 hrs?

ELISA kama sikosei inafanya hiyo. Muhimu ni kuwa ukishajilipua wahi VCT, watakupima na kama hauna hiv watakuanzishia dawa. Hiyo ndio pona yako mamii (manake mnazi hata ukikwea na helmet, ukianguka ni shughuli)
 
Hata kama ukipima kuna kipindi kinaitwa window period,hapa Virusi hawaonekani bkoz wapo kwenye damu lakini bado hawajaingia kwenye CD4.In this case ukipima inabidi usubiri 3month ili window uiondoe kwenye doubt after the first test!!!Kazi ipo.Au kama una uhakika ure negative na umepata matokeo ya kuambukizwa na mgonjwa kuna dawa unatumia kabla masaa 72 hazijapita.Zinaitwa PEP post exposure prophylaxis mara nyingi zikitumika watu wanakuwa slama!
 
Ninachojua: kuna dawa watu hupewa ndani ya masaa 72 ikiwa kama wanahisi wamepata maambukizi. Hususani kama mtu amebakwa au 'vigogo' wakicheza rafu huwa wanakimblia kunywa. Hii husaidia wadudu kufa kabla hawajaota mizizi.
 
jamani ameuliza kipimo sio dawa kwahiyo anaejua kuhu su kipimo cha hiv test within 24 hrs amjuze. Ila mie navyofahamu kipo hata baada
ya 1hr unapata majibu. Kuna tofauti kati ya kipimo cha hiv
na cha cd4, cd4 hii ni issue nyingine inatumika kwa mtu ambaye tayari ni positive ila kingine ni hiv test only
 
Ninachojua: kuna dawa watu hupewa ndani ya masaa 72 ikiwa kama wanahisi wamepata maambukizi. Hususani kama mtu amebakwa au 'vigogo' wakicheza rafu huwa wanakimblia kunywa. Hii husaidia wadudu kufa kabla hawajaota mizizi.

hizo dawa ni sh. Ngap?
 
Back
Top Bottom