Mchele unatumika mwingi? huwa nakinai chakula nikikichanganya kwenye sahani moja raha yangu niwe naona bakuli nyingi nachovya huku kule na pale.Nimepumzika kulipika maana linaharibu budget ya mchele[emoji13]
Hahaha,kuna m1 kasema yanakua kama maini,...hahaha,..vyuma kwel nuksiIla maharage ukikaanga na kitunguu swaumu yanakuwa matamu saana aseeh.
ni zaidi ya maharage jaribu uone.
Menya vitunguu swaumu kisha viponde then vikaangae halafu ufuate taratibu za kawaida za kukaanga maharage...
Huyo aanakula maharage kwasababu hana pesa ya nyama.Hahaha,kuna m1 kasema yanakua kama maini,...hahaha,..vyuma kwel nuksi
Mchele unapika kiasi ulichozoa isipokuwa ulaji unaongezeka. Kama unapika 1kg mlo mmoja basi watataka 1.5 kgs kwa mlo mmoja kwa utamu wake.Mchele unatumika mwingi? huwa nakinai chakula nikikichanganya kwenye sahani moja raha yangu niwe naona bakuli nyingi nachovya huku kule na pale.
Sasa maharage nanwali one pot si kukinaishana.
Hata Mimi ningecheka aisee!Daaah,..mdada huyo,tulikua tunapata lunch,tukawa tunajadili mambo ya january,yeye anafamilia,mi bachelor january hainihusu,so nkawa nawaskiliza tuu,bas ndo nkaskia hyo kauli,daah nilicheka sanaaaaa...hahahahaha[emoji23][emoji23],..
Nahisi yanabaki kuwa maharage, ila ukiweka kitunguu saumu tu, kingdom inabadilikaVipi kama ukiweka kitunguu maji
Haaaa ubahiri.Nimepumzika kulipika maana linaharibu budget ya mchele[emoji13]
usitake nialibu maharage yangu bna be serious
Na mfupa unakuwepo?
Duuuu inawezekana maini rost ninayokula kwa mama ashura cafe ni maharage.....duuuuuMfupa hakuna,yaan kama maini
Hili pishi sijawahi kulila hapa dar waalah [emoji13]Huwa nikipika mseto wa maharage familia haishibi Kwa utamu huo ni balaa watu wengi hawajui
Kajaribu utuletee mrejeshoNa mfupa unakuwepo?
Kwani unapikagaaa au WiFi??Ila maharage ukikaanga na kitunguu swaumu yanakuwa matamu saana aseeh.
ni zaidi ya maharage jaribu uone.
Menya vitunguu swaumu kisha viponde then vikaangae halafu ufuate taratibu za kawaida za kukaanga maharage...
Ni kweli? Maana mi napenda maharage ila huwa nahofia gesi yake tuBila kusahau na tangawizi kwa mbaliiii na yanakuwa hayana gesi