"Hiv unajua Maharage ukiweka kitunguu saumu yanakua kama nyama"

"Hiv unajua Maharage ukiweka kitunguu saumu yanakua kama nyama"

Nimepumzika kulipika maana linaharibu budget ya mchele[emoji13]
Mchele unatumika mwingi? huwa nakinai chakula nikikichanganya kwenye sahani moja raha yangu niwe naona bakuli nyingi nachovya huku kule na pale.

Sasa maharage nanwali one pot si kukinaishana.
 
Ila maharage ukikaanga na kitunguu swaumu yanakuwa matamu saana aseeh.

ni zaidi ya maharage jaribu uone.

Menya vitunguu swaumu kisha viponde then vikaangae halafu ufuate taratibu za kawaida za kukaanga maharage...
Hahaha,kuna m1 kasema yanakua kama maini,...hahaha,..vyuma kwel nuksi
 
Mchele unatumika mwingi? huwa nakinai chakula nikikichanganya kwenye sahani moja raha yangu niwe naona bakuli nyingi nachovya huku kule na pale.

Sasa maharage nanwali one pot si kukinaishana.
Mchele unapika kiasi ulichozoa isipokuwa ulaji unaongezeka. Kama unapika 1kg mlo mmoja basi watataka 1.5 kgs kwa mlo mmoja kwa utamu wake.

Unakuwa kama unapika pilau badala ya nyama inakuwa maharage pembeni pilipili au kachumbari
 
Aaaah mimi nina mawazo machafu...nilijua yale maharage mengine ukiweka kitunguu swaumu ladha inaongezeka!
 
Daaah,..mdada huyo,tulikua tunapata lunch,tukawa tunajadili mambo ya january,yeye anafamilia,mi bachelor january hainihusu,so nkawa nawaskiliza tuu,bas ndo nkaskia hyo kauli,daah nilicheka sanaaaaa...hahahahaha[emoji23][emoji23],..
Hata Mimi ningecheka aisee!
 
Bila kusahau na tangawizi kwa mbaliiii na yanakuwa hayana gesi
 
Ila maharage ukikaanga na kitunguu swaumu yanakuwa matamu saana aseeh.

ni zaidi ya maharage jaribu uone.

Menya vitunguu swaumu kisha viponde then vikaangae halafu ufuate taratibu za kawaida za kukaanga maharage...
Kwani unapikagaaa au WiFi??
Mana ulivyosimuliaaa
 
Back
Top Bottom