Hivi Aggrey kaacha kweli ile michezo yake au kapumzika tu?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Nilikua nacheck mtandaoni namna shughuli ya 40 ya mtoto wa Wema ilivyokua.

Miongoni mwa wageni waalikwa na ambao wametambulishwa kuwa ni wajomba wa mtoto ni huyu mtumishi wa Mungu anaejiita Aggrey.

Huyu bwana wakati wa kulishwa keki kuna jambo kalifanya likanipa mawazo kuwa huenda zile tabia zake bado anazifanya kisirisiri..kuna namna flani alijibenua akawa kama anajishebedua ile kikikekike hivi.kwa kweli kanipa mawazo sana huyu mtumishi wa Mungu.

Nashindwa kuelewa kaacha ile michezo kweli au yuko mapumzikoni tu?
 
Huko Dar si nasikia ndio kawa mwanaume bora mwaka uliopita?!
Thread 'Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?' Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?
 
Aggrey kipindi kabla hajawa mtumishi, alikuwa yupo feminine completely kutembea, ongea maringo n.k na ukumbuke ni kitu kakaa nacho kwa muda mrefu kidogo sasa alipokuja kusema kaaacha na kuingia kwenye uanaume sasa napo atachukua muda kuwa sawa ni ngumu mtu awe anarusha mikono kesho ikaze, lzm ajipe muda wa mazoezi na mambo mengine km kutembea ongea n.k

Kikubwa kwa wanaoamini wamuombee awe sawa,, sioni kitu cha kushangaa hapo
 
Hakika umenena! Yaani yule baba alikuwa ananiuma wakati akiwa shoga hadi sitamani kumwangalia juu sasa nitado? Ni mauchungu ilikuwa naufurahia mwenendo wake kama ndugu yangu kwa sasa
 
Back
Top Bottom