Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Wakuu,

Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.

Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?

Screenshot_20201220-154856_Opera Mini beta.jpg
 
Moshi Kama huna private Basi utasanda sana
 
Usafiri ni shida muda huu, sio mabasi wala ndege. Angalia uwezekano wa kufika unakokwenda
 
Sasa usanii gani sasa? Unataka wakudanganye zipo halafu uje tena kutulalamikia humu!
 
Akina mushi na massawe wameishafanya vitu vyao tumia tereni !
 
Wakuu,

Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.

Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?

View attachment 1655205
Hivi hapa tulitakiwa Kuwapongeza ATCL kwa Kutengeneza Pesa Kipindi hiki au tuje Kuwashangaa na Kuwalaumu? Waswahili tuna matatizo sana.
 
Wakuu,

Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.

Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?

View attachment 1655205
Huwezi kufanya usanii kwenye kutafuta hela, endelea tu kuangalia tarehe za mbele,ukumbuke pia huu ni msimu wa sikukuu na mwisho wa mwaka wateja ni wengi sana...
 
Back
Top Bottom