Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo hamna dogo, ndege zimejaa, hamtaki?Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Unasafiri Dec 21 unataka kukata tiket Dec 20! Hata Kilimanjaro express unaweza kukosa.
Hivi hapa tulitakiwa Kuwapongeza ATCL kwa Kutengeneza Pesa Kipindi hiki au tuje Kuwashangaa na Kuwalaumu? Waswahili tuna matatizo sana.Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Watu wengi wanaenda likizo. Na officers wengi wa Serikali title zao ni ndege, yeye, mkewe, na watoto wanne.Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205
Huwezi kufanya usanii kwenye kutafuta hela, endelea tu kuangalia tarehe za mbele,ukumbuke pia huu ni msimu wa sikukuu na mwisho wa mwaka wateja ni wengi sana...Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
View attachment 1655205