Hivi airform bado zinatengenezwa

Hivi airform bado zinatengenezwa

Kwanini tena?

Haujui kabisa hizi mambo? Au haufahamu jina tu? Lakini nyie wa mjini na hasahasa kama hamkusoma shule za kulala hukohuko kutokufaham sio uhenga wala ushama.

Zilikua ni bahasha zenye stamp na unaandika kwenye hiyo bahasha unaikunja bila kuweka chochote ndani tukiaminishwa itaenda kwa ndege.
 
Sizijui kweli. Boarding nimeenda high school 2009 ntayajuaje hayo mambo.
Hata jina kweli nahisi sifahamu na nilikuaga bingwa kweli wa kuandika barua kwa boyfriend zangu wa Galanos na Soni Seminary [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unasema? Boy friend wakati upo boarding?
 
Ni wangapi kwanza wanazijumbuka? Hii ilikuwa bidhaa adimu boarding school. Enzi hizo ukienda Posta wanakuambia wanauza 20 tu kwa kila mteja
Bila shaka utakuwa unamaanisha zile karatasi zilizokuwa ni malumu zinapatikana posta zilikuwa na rangi flani kama bluu hivi nyepesi na unapoikunja huna haja ya bahasha, yenyewe ukishaanika unaikunja kama ilivyotengenezwa na ndio imejikamilisha barua yako, kama ni hizo nadhani zitakuwa bado zipo ila zitakuwa zimeboreshwa.
 
Hii kitu ni karasasi ya barua na bahasha hapo hapo. Nilikua naipenda sana
 
Kipindi cha Penpal nilikuwaga na Marafiki Ujerumani, switzerland, Poland, UK, Japan na Malaysia!..
Sasa marafiki bongo wakanijaza ujinga nikamtongoza rafiki wa Poland kalikuwa kazuri hasaa!, Baadae kakawa hakajibu barua zangu siku moja ikaingia barua kuisoma imetoka kwa baba yake kanichimba niache kumuandikia barua mwanae[emoji23]..
Kumbe wenzetu bwana barua ilikuwa anaipata mzazi wake anaisoma ndio anampa mtoto wake aijibu!.
Sijui hata ilikuaje Penpal ikafa!
 
Sizijui kweli. Boarding nimeenda high school 2009 ntayajuaje hayo mambo.
Hata jina kweli nahisi sifahamu na nilikuaga bingwa kweli wa kuandika barua kwa boyfriend zangu wa Galanos na Soni Seminary [emoji23][emoji23][emoji23]
daaahh wewe kumbe kugegedana nikipaji chako aisee"" shikamoo mkuu""
 
Kipindi cha Penpal nilikuwaga na Marafiki Ujerumani, switzerland, Poland, UK, Japan na Malaysia!..
Sasa marafiki bongo wakanijaza ujinga nikamtongoza rafiki wa Poland kalikuwa kazuri hasaa!, Baadae kakawa hakajibu barua zangu siku moja ikaingia barua kuisoma imetoka kwa baba yake kanichimba niache kumuandikia barua mwanae[emoji23]..
Kumbe wenzetu bwana barua ilikuwa anaipata mzazi wake anaisoma ndio anampa mtoto wake aijibu!.
Sijui hata ilikuaje Penpal ikafa!
hahaa utapigwa risasi "" daahh
 
kumbe walikuwa wanakuingiza chakina mzigua
Sijui iliishia wapi Penpal maana niliacha itumia nadhani saa hii tungekuwa tumehamishia mawasiliano Fb na Insta!
 
Kitu cha airform kwa wasioifahamu!View attachment 726340
Manina, watu mna data aisee, nakumbuka nikiwa sec milambo, zilikuwa zinatumika sana, unaipaka stamp yake mafuta ya brake mhuri unatoka unaitumia stamp tena kwa barua nyingine, dadadeki, maisha ya boarding raha sana, na barua likuwa inaenda na kumfikia mlengwa
 
Back
Top Bottom