Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini tena?
Sizijui kweli. Boarding nimeenda high school 2009 ntayajuaje hayo mambo.Haujui kabisa hizi mambo? Au haufahamu jina tu? Lakini nyie wa mjini na hasahasa kama hamkusoma shule za kulala hukohuko kutokufaham sio uhenga wala ushama.
Zilikua ni bahasha zenye stamp na unaandika kwenye hiyo bahasha unaikunja bila kuweka chochote ndani tukiaminishwa itaenda kwa ndege.
Sizijui kweli. Boarding nimeenda high school 2009 ntayajuaje hayo mambo.
Hata jina kweli nahisi sifahamu na nilikuaga bingwa kweli wa kuandika barua kwa boyfriend zangu wa Galanos na Soni Seminary [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati niko boarding nilikua natumia simu.Unasema? Boy friend wakati upo boarding?
Bila shaka utakuwa unamaanisha zile karatasi zilizokuwa ni malumu zinapatikana posta zilikuwa na rangi flani kama bluu hivi nyepesi na unapoikunja huna haja ya bahasha, yenyewe ukishaanika unaikunja kama ilivyotengenezwa na ndio imejikamilisha barua yako, kama ni hizo nadhani zitakuwa bado zipo ila zitakuwa zimeboreshwa.Ni wangapi kwanza wanazijumbuka? Hii ilikuwa bidhaa adimu boarding school. Enzi hizo ukienda Posta wanakuambia wanauza 20 tu kwa kila mteja
Wakati niko boarding nilikua natumia simu.
Wakati niko day nilikua natumia barua za kawaida tu kwenye karatasi zenye maua
[emoji23][emoji23][emoji23]Hukobkote nimekuelewa, hapo kwenye boufrend hapo ndipo penye ukakasi. Ulikua nao huko kwenye chule zote?
Dah...naona sasa Prof mshana jr jela inamwita....tena miaka 30....namuhurumia sana..🙂Dada mm wa juzi hizo mambo sizijui nielekeze
Dah..na mimi niliingia chaka pia 😀😀😀😀😀Yaani nime-google 'airform' na kupata yaliyomo kwenye hii link airform - Recherche Google
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah...naona sasa Prof mshana jr jela inamwita....tena miaka 30....namuhurumia sana..🙂
kweli watu mmekula chumvi"" hapo hapo bahasha hapo hapo karatasi ya kuandikia baruaKitu cha airform kwa wasioifahamu!View attachment 726340
daaahh wewe kumbe kugegedana nikipaji chako aisee"" shikamoo mkuu""Sizijui kweli. Boarding nimeenda high school 2009 ntayajuaje hayo mambo.
Hata jina kweli nahisi sifahamu na nilikuaga bingwa kweli wa kuandika barua kwa boyfriend zangu wa Galanos na Soni Seminary [emoji23][emoji23][emoji23]
hahaa utapigwa risasi "" daahhKipindi cha Penpal nilikuwaga na Marafiki Ujerumani, switzerland, Poland, UK, Japan na Malaysia!..
Sasa marafiki bongo wakanijaza ujinga nikamtongoza rafiki wa Poland kalikuwa kazuri hasaa!, Baadae kakawa hakajibu barua zangu siku moja ikaingia barua kuisoma imetoka kwa baba yake kanichimba niache kumuandikia barua mwanae[emoji23]..
Kumbe wenzetu bwana barua ilikuwa anaipata mzazi wake anaisoma ndio anampa mtoto wake aijibu!.
Sijui hata ilikuaje Penpal ikafa!
hahaha marafiki wabaya sana!!.. kuona nina rafiki wa nje wakanipump nijaribu bahati!!..hahaa utapigwa risasi "" daahh
kumbe walikuwa wanakuingiza chakina mziguahahaha marafiki wabaya sana!!.. kuona nina rafiki wa nje wakanipump nijaribu bahati!!..
Sijui iliishia wapi Penpal maana niliacha itumia nadhani saa hii tungekuwa tumehamishia mawasiliano Fb na Insta!kumbe walikuwa wanakuingiza chakina mzigua
Manina, watu mna data aisee, nakumbuka nikiwa sec milambo, zilikuwa zinatumika sana, unaipaka stamp yake mafuta ya brake mhuri unatoka unaitumia stamp tena kwa barua nyingine, dadadeki, maisha ya boarding raha sana, na barua likuwa inaenda na kumfikia mlengwaKitu cha airform kwa wasioifahamu!View attachment 726340