Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

mmeshapata kujua alipo Aisha au mnahitaji msaada?...au mmehamia kwa Joy....mana nyie wazee humu basi tu.....kitovu tu kimeshawatoa mate....
 
mmeshapata kujua alipo Aisha au mnahitaji msaada?...au mmehamia kwa Joy....mana nyie wazee humu basi tu.....kitovu tu kimeshawatoa mate....

mambo dada,

naona mada imebadilika si unajua ugonjwa wao.
 
Mkuu umeniumizia mbavu zangu. Lol! Manake mpaka hapo we umeshajimegea cheo cha askofu, kadinali au Papa.

papa/askofu ni fidel80
paroko hapa ni Yo Yo
mimi ni katekista
 
mmeshapata kujua alipo Aisha au mnahitaji msaada?...au mmehamia kwa Joy....mana nyie wazee humu basi tu.....kitovu tu kimeshawatoa mate....

Mchungaji Masa nilikuomba wakati unachabo pale chini, akiibuka nyamayao na wenzie unistue. Unaona sasa kavamia bila taarifa!
 
Furaha/Joy inaonakana hujanikubali kbs nimekuja na mkwara wa Hi! Baby lakini naona unaenda kwa raisi wetu na baba mchungaji MASA.
 
Furaha/Joy inaonakana hujanikubali kbs nimekuja na mkwara wa Hi! Baby lakini naona unaenda kwa raisi wetu na baba mchungaji MASA.

Nitakuombea upofu mheshimu Mchungaji....!
 
naona kondoo mpya kachepuka kidogo
 
Jamani naenda kusalisha Kanisa moja kule maeneo ya kizurunga Chrispin panda kwenye mimbali...
 
naona kondoo mpya kachepuka kidogo

Huyu mwanakondoo inaelekea si mwema. Kila mara anapotea. Akija tutamsaidia mchungaji kumkimbiza aingie zizini mchana kweupeee.
 
Back
Top Bottom