Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na wasi wasi nimedivert kwenda kwa unknown user! si unajua najitahidi kukuwekea ulinzi zidi ya pepo wabaya!
come down, tatizo ni ni nini? unaweza kuniambia?
come down, tatizo ni ni nini? unaweza kuniambia?
mmeshapata kujua alipo Aisha au mnahitaji msaada?...au mmehamia kwa Joy....mana nyie wazee humu basi tu.....kitovu tu kimeshawatoa mate....
mmeshapata kujua alipo Aisha au mnahitaji msaada?...au mmehamia kwa Joy....mana nyie wazee humu basi tu.....kitovu tu kimeshawatoa mate....
Mchungaji kaza buti, kondoo anakaribia kuingia zizini.
Mchungaji kaza buti, kondoo anakaribia kuingia zizini.
siyo kirahisis namna huo, nitaingiaje zizini na jua halijazama
mambo dada,
naona mada imebadilika si unajua ugonjwa wao.
Furaha/Joy inaonakana hujanikubali kbs nimekuja na mkwara wa Hi! Baby lakini naona unaenda kwa raisi wetu na baba mchungaji MASA.
Can you people go church mjifunze mapambio mapya ..am busy with another muumini!
naona kondoo mpya kachepuka kidogo
Jamani naenda kusalisha Kanisa moja kule maeneo ya kizurunga Chrispin panda kwenye mimbali...