Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du umetumia lugha ya kuficha nia ila imebuma hiyo. Wewe utakuwa ni ajira mpya sasa unataka kutuambia kuwa hujapangiwa ofisi na inaonekana unania mbaya ya upigaji. kuna watu hatuna ajira tunalilia walau hata kupata kuajiriwa wewe unahangaika eti hujapangiwa ofisi wakati tayari mshahara ushaanza kula toka 2023. umeshindwa hata kuficha dhumuni lako. wewe shida ajira au ujue umepangwa wapi inaonekana ulishakuwa na malengo machafu ya upigaji ndiyo maana.Nyinyi vijana mntaishia pabaya yaani upo ndani ya ajira bado unawaza wapi ukapige.Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa.
Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni.
Thank you
Serekali haina helaHivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa.
Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni.
Thank you