Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
Mtavimbiwa sasaKila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake.
SSH
Hata mchakato ungekuwa wa uwazi bado uwezo huo wa kamlete wangekuwa nao tu, cha msingi tumejua wamepatikanaje basiNi mwendo wa Kamlete dada yako.. ama kamlete mwanao aje agawa soda kwenye SGR
Akili za kikomunisti hizi kwanini TISS waajiri watu wa Treni na ndege?Ajira za kwenye train nijuwavyo ni za kurithishana toka enzi ya Mjerumani.
Labda huo utarartibu wa kurithishana uwe umebadilishwa.
Wahudumu wa Train itakuwa wamechaguliwa na TISS kama ilivyo kwa wahudumu wa kwenye ndege.
Kwa ajili ya usalama wa nchi.Akili za kikomunisti hizi kwanini TISS waajiri watu wa Treni na ndege?
Fani zao ni zipi?Ajira za kwenye train nijuwavyo ni za kurithishana toka enzi ya Mjerumani.
Labda huo utarartibu wa kurithishana uwe umebadilishwa.
Wahudumu wa Train itakuwa wamechaguliwa na TISS kama ilivyo kwa wahudumu wa kwenye ndege.
Kwenye mambo mazuri ulitaka uitwe? Sahau kwenye za Ndege Dreamliner uliona matangazo ta kazi?Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu?
Je wamepatikanaje?
Soma Pia: Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza kwa bei ya juu
Sijui wanaoajiriwa/walioariwa taaluma yao ni ipiWamesomea fani zipi?
Kumbe ni za Ndugu nization?Ajira za kwenye train nijuwavyo ni za kurithishana toka enzi ya Mjerumani.
Izo ajira ndo kati ya fursa tulizokuwa tukiambiwa usiku na mchana ndo maana nimeulizaKwenye mambo mazuri ulitaka uitwe? Sahau kwenye za Ndege Dreamliner uliona matangazo ta kazi?
YeahHata mchakato ungekuwa wa uwazi bado uwezo huo wa kamlete wangekuwa nao tu, cha msingi tumejua wamepatikanaje basi
Yote imo hiyo.Kumbe ni za Ndugu nization?
Okay sisi tuendelee na UalimuYote imo hiyo.
Haha mkisubiri sensaOkay sisi tuendelee na Ualimu
Usikate tamaa. Kama unapenda kuwa nhudumu wa kwenye treni, ajira byibgi saba zutakuwepo, treni bado itaajiri sana.Okay sisi tuendelee na Ualimu
Wapo wenye kila fani.Fani zao ni zipi?