Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Zilitangangazwa, tena walirely kwa kusema wale wa aviation ndio watapewa sana nafasi.
Hata ajira portal ziliwekwa pia
Hata ajira portal ziliwekwa pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km ni za kurithishana nani atamrithisha?Usikate tamaa. Kama unapenda kuwa nhudumu wa kwenye treni, ajira byibgi saba zutakuwepo, treni bado itaajiri sana.
"where there is a will there's always a way".
Ajira ajira ila baraka mushee kama angefika mpaka sasa. Faiza ungekuwa na nyimbo yako '' inaitwa gitaa limeingiwa na chura mto msimbazi kuwa visiwani''.Yote imo hiyo.
Sielewi lugha za kishetani.Ajira ajira ila baraka mushee kama angefika mpaka sasa. Faiza ungekuwa na nyimbo yako '' inaitwa gitaa limeingiwa na chura mto msimbazi kuwa visiwani''.
Nyimbo
Chorus :
Nasikitika sana kelele zangu kuona zina chura mmoja weeee.
Nasiekusikia mwenye kupiga ngurumo weee.
Nguruni wee nikama chura kiziwi wee.
Mwenye uziwiii wee aliyejitiwa uziwiii.
Verse.
Chura na na jiwe wote wote kiziwi weeee.
Wee ndio kauli zao ndio wanao ndio wenyewe.
Kwa nini wao ni wao ni wee uwafanye weeee.
Sijiona mwee kuruga ya........
Ndivyo sera za CCM yenu ilivyo?Ajira za kwenye train nijuwavyo ni za kurithishana toka enzi ya Mjerumani.
Labda huo utaratibu wa kurithishana uwe umebadilishwa.
Wahudumu wa Train itakuwa wamechaguliwa na TISS kama ilivyo kwa wahudumu wa kwenye ndege.
Zile nyuso mkuu ni za kusailiwa kweli?Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu?
Je wamepatikanaje?
Soma Pia: Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza kwa bei ya juu
Na Leo hii inapokelewa zanzibar. Mwenye uelewa anijuze kwani Zanzibar nayo inachangia kwenye ununuzi wa hizi ndege?Kwenye mambo mazuri ulitaka uitwe? Sahau kwenye za Ndege Dreamliner uliona matangazo ta kazi?
Kama ni hivyo inabidi CIA au Mossad waje kuwapa shule tithi ya majukumu halisi ya idara ya ujasusi.Wahudumu wa Train itakuwa wamechaguliwa na TISS kama ilivyo kwa wahudumu wa kwenye ndege.
Zilikuwa zinaitwaje?Zilitangangazwa, tena walirely kwa kusema wale wa aviation ndio watapewa sana nafasi.
Hata ajira portal ziliwekwa pia
Ajira za wahudumu wa trc.Zilikuwa zinaitwaje?
Basi hatupo salama kama tunatumia akili za 60sKwa ajili ya usalama wa nchi.