Hivi ajira za Wahudumu kwenye Treni zilitangazwa lini?

Hivi ajira za Wahudumu kwenye Treni zilitangazwa lini?

Zilitangangazwa, tena walirely kwa kusema wale wa aviation ndio watapewa sana nafasi.
Hata ajira portal ziliwekwa pia
 
Yote imo hiyo.
Ajira ajira ila baraka mushee kama angefika mpaka sasa. Faiza ungekuwa na nyimbo yako '' inaitwa gitaa limeingiwa na chura mto msimbazi kuwa visiwani''.
Nyimbo
Chorus :
Nasikitika sana kelele zangu kuona zina chura mmoja weeee.
Nasiekusikia mwenye kupiga ngurumo weee.
Nguruni wee nikama chura kiziwi wee.
Mwenye uziwiii wee aliyejitiwa uziwiii.

Verse.

Chura na na jiwe wote wote kiziwi weeee.
Wee ndio kauli zao ndio wanao ndio wenyewe.
Kwa nini wao ni wao ni wee uwafanye weeee.
Sijiona mwee kuruga ya........
 
Sielewi lugha za kishetani.
 
Ajira za kwenye train nijuwavyo ni za kurithishana toka enzi ya Mjerumani.

Labda huo utaratibu wa kurithishana uwe umebadilishwa.

Wahudumu wa Train itakuwa wamechaguliwa na TISS kama ilivyo kwa wahudumu wa kwenye ndege.
Ndivyo sera za CCM yenu ilivyo?
 
Back
Top Bottom