Hivi ajira za Wahudumu kwenye Treni zilitangazwa lini?

Hivi ajira za Wahudumu kwenye Treni zilitangazwa lini?

Ajira za kwenye train nijuwavyo ni za kurithishana toka enzi ya Mjerumani.

Labda huo utarartibu wa kurithishana uwe umebadilishwa.

Wahudumu wa Train itakuwa wamechaguliwa na TISS kama ilivyo kwa wahudumu wa kwenye ndege.
Fani zao ni zipi?
 
Back
Top Bottom