Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ziwe zinatembea adhabu kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio inahalalisha ajipenyeze tu kama bodaboda?Kama nimeona vizuri lile roli upande wa kushoto kama limepaki au limeharibikia sehemu mbaya
Mkuu kama nikiambiwa nitoe mapendekezo kuhusu barabara ningeomba maroli yawe na barabara zao hao jamaa wanazingua kinoma kwanza hawana haraka wanatembea kama konokono pili wanasinzia kutokana na uchovu wa masafa marefu tatu wanatangulizana unaweza kuta msululu wa maroli tupu sasa unataka uwafate nyuma nyuma utafika lini huko uendakoKwahio inahalalisha ajipenyeze tu kama bodaboda?
Mlima Kitonga Iringa.Wapi hapo?
Naona basi la Mbeya City