Hivi akili za huyu dereva zipo wapi?

Hivi akili za huyu dereva zipo wapi?

Madereva wa mabasi waache sifa za kijinga wakiwa barabarani wanajiona wao ndio wenye haki ya kutumia barabara ukiwa mbele yake atafululiza honi kama treni ya mkoloni ili umpishe apite yeye hawana tofauti na bodaboda.
 
Kwahio inahalalisha ajipenyeze tu kama bodaboda?
Mkuu kama nikiambiwa nitoe mapendekezo kuhusu barabara ningeomba maroli yawe na barabara zao hao jamaa wanazingua kinoma kwanza hawana haraka wanatembea kama konokono pili wanasinzia kutokana na uchovu wa masafa marefu tatu wanatangulizana unaweza kuta msululu wa maroli tupu sasa unataka uwafate nyuma nyuma utafika lini huko uendako
 
Back
Top Bottom