Hivi Al Ahly iliyocheza na Buyern Munich ndiyo hii tunakuja kucheza nayo!

kuna wadau leo huenda wakapiga wake zao pindi wakirudi home coz ya hasira + uchungu, hiyo yote ni kwasababu SIMBA SC kashinda.
poleeeni sana nasubiri tena complain zenu juu ya simba kwa mechi zijazo.
sijui mtamshabikia El merreck na vile leo kapigwa kipigo cha mbwa koko 1-4 na As vita na vita tuliwapiga kwao au mtatuombea dua mbaya moyoni tufungwe ili msiingie aibu kama mlioipata leo
 
Simba wako vizuri. Yanga kuongoza haiwafanyi simba kuwa vilaza, team ipo kwenye hali nzuri, nina uhakika itaonyesha mchezo mzuri utakaoleta faida.
Dah agiza Soda mkuu nakuja kulipa, kama ulishaiona mechi live kabisa
 
Sasa wameshakuja una la ziada sisi sio kama utopolo tunacheza mpira kupitia magazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…