Hivi Al Ahly iliyocheza na Buyern Munich ndiyo hii tunakuja kucheza nayo!

Umesahau Simba vs Sevilla?mbona kawaida sana
Wale Sevilla walikuwa wanafanya mazoezi tu. Na waliwachukulia simba ni under dog club mana nilimsikia kocha wao alidai kwamba mwanzo walikuwa kama wanafanya masihara,ila ilipofikia kipindi alipoona wamefungwa goli 4 ikabidi amwite kapteni wake wacheze kama ni ligi hivi ndipo wakashinda 5
 
Mlipowaona tulivyowapelekesha harakaharaka mkajipendekeza urafiki
 
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.

Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?

Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Ni hao hao Ndugu na usiwe na wasiwasi kwani wakija huku muda mwingi watakuwa wanaona wanacheza na Binadamu wenzao wakati kumbe kiuhalisia watakaokuwa wakicheza ni Paka watupu tu siku hiyo na tutawafunga vile vile.
 
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.

Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?

Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Ndio hiyohiyo
 
tulia ivyohivyo, huku misri wanabugia maziwa ya ngamia na tende kule lubumbashi tartiiiibu vijana wanapaka mucongo..... mwaka huu mimba ya mapaca watatu inawahusu...
 
Ahly hajawahi hata kupata points na Simba ardhi ya Tz.

Amekufa 1-0 hivi karibuni. Kagereeeeee

Amekufa 2-1 miaka ya 80 hukoo.

Tukirudi mechi ya Juzi
Bayern alipiga 23 shots vs 5 za Ahly

Mashuti yenye ni ya kiwoga woga. Wanapigia nje ya 18. Kindoki humfungi
 
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.

Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?

Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
ndo hao hao waliochapwa 1-0 na simba pia
 
AL WAHEDI, THALATHA BIN HAMSA ZINAWAHUSU[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kule Congo AS Vita wanamlambia Vumbi la Kongo kule kwa Waarabu wanamlia Tende.Kitakachotokea tusubiri,Simba wanamakele sana na ni vihere here sana .Wakipigwa wanakuja na vimaneno vya kujifariji fariji .Naomba muwazoee Kama mlivyozoea kula na kunywa
 
NOMA SANA, AIBU KWA TAIFA
 
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.

Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?

Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Updates:
Na Leo wameichapa Pelmeras kwa Penalty 3-2 !
Na wametwaa nafasi ya tatu ya Ubingwa wa Dunia!
Acha woga wewe hii ni hatua ya makundi sio mtoano
 
NOMA SANA, AIBU KWA TAIFA
Aibu yako aibu ya vijibwa koko vyooote vya Utopolo. Wote kimyaaaaa
IMG-20210213-WA0002.jpg
 
Kule Congo AS Vita wanamlambia Vumbi la Kongo kule kwa Waarabu wanamlia Tende.Kitakachotokea tusubiri,Simba wanamakele sana na ni vihere here sana .Wakipigwa wanakuja na vimaneno vya kujifariji fariji .Naomba muwazoee Kama mlivyozoea kula na kunywa
Unaumia ukiwa mkoa gani ?
 
Back
Top Bottom