Hivi Al Ahly iliyocheza na Buyern Munich ndiyo hii tunakuja kucheza nayo!

Hivi Al Ahly iliyocheza na Buyern Munich ndiyo hii tunakuja kucheza nayo!

Simba akikutana na team kubwa kubwa zinazojua mpira Simba huwa inaupiga haswa full biriani yan, ila ikikutana na wasiojua mpira Kama Uto, Uto wanacheza mpira kama wako vitani
Ukweli mchungu huu
JamiiForums-1100825995.jpg
 
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.

Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?

Aisee ...ngoja tuone...Mungu Ni Mwema!
Updates:
Na Leo wameichapa Pelmeras kwa Penalty 3-2 !
Na wametwaa nafasi ya tatu ya Ubingwa wa Dunia!
Waliwapuuza tu,mlikakamaa wakat wenzenu walichukulia easy Sana,ila watawatia gumba baya kwao
 
Back
Top Bottom