The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho.
Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa.
Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano.
Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo.
Anaongea sana kuliko bosi wake.
Anaongea kama kiumbe aliyetoka sayari nyingine.
Akiongea, lazima atazua jambo tena la hovyo na uongo.
Sijui hata hiyo PhD yake kama siyo sawa na zile za aliyemteua na matapeli kama Gwajima wanaojiita madaktari wakati hawana hata shahada ya kwanza.
Anatupotezea fedha kwa uchawa, uzwazwa na wehu wake.