Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Mpaka mda inaisha hakuna atakae nichekesha kama wewe eti UMECHUNGUZA SANA KWENYE YOUTUBE UMEONA WAPO?

Yaani nimetumia muda mrefu sana kuwasoma hao kwenye mitandao si kidogo, lkn wapo hawa viumbe, we jiulize kwenye sayari zingine hakuna viumbe?
 
Swali zuri sana.. What's so special about our earth, coz kuna sayari nyingi kubwa zaidi..kwa nini kusiwe na viumbe?

Baadhi ya wenzako wanasema sayari zingine hazina uhai au life existence!!
 
sasa wamejuaje kama ni wakorofi ikiwa hatujakwaruzana nao?

Hawatokei sehemu zenye wingi wa binadamu au sehemu zenye mkusanyiko wa binadamu, wanatokea sehemu ambazo kuna uchache wa binadamu kwa usalama wao...
 
hakuna viumbe wanaoitwa hivyo chini ya juu..... salim MSANGI blog........google ujifunze kwa undani
 
Last edited by a moderator:
nasikia ndio wanakulaga ndege na meli zinazopotea ktk mazingira ya kutatanisha
 
Back
Top Bottom