Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unataka tufanye ligi! Kama lengo ni kufosi tufanane si ningesema tu mnaoshabikia card b acheni njooni huku kwa Nick!Kuna tofauti kati kuelewa na kujua kusoma. On reference to hi mistari michache tu.
'ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid '
They are your views not anybody's. Sasa ninavokwambia usiforce mfanane unapinga.
Kajifunze kujitambua na wewe.
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?
yap nakubali amechange style karibu tatu za rap,pumzi ya kutosha ametisha kwenye motorsportCard b ni rapper chipukizi hana ngoma ambazo unaweza ukaziweka akafunikwa nicki
Motorspot ya migos card b mbona kapotezwa na nick
Ni kweli Mkuu ni mtazamo wangu ila Kuna wakati nahisi labda yale yale ya kumtafutia mpinzani nick.... Kama kibongo kibongo zile team mbili ila aliyevizuri anaonekana tu
Tunaangalia mwenye tako kubwa au mwenye boobs kubwa za plastic surgery.Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?
tukuwekee keamb ww hauzifahamu?Tuwekee Nyimbo Za Cardi B na Nyimbo Za Nicki Minaj Tusikilize Then Tutoe Conclusion na Sio Kutuletea Maneno Matupu Tu
pills and portion.Cardi B nimemkubali kwenye taki taki na motor sport ila Nicki Minaj hana mpinzani aisee namkubali kuanzia enzi zile za moment for life na super bass na hadi kesho nitamkubali walikuja kina Iggy Azalea na M.I.A walimkuta na watamuacha
Mwambieni aache upimbi. Kilichomsukuma awe Msagaji ni nini ?Young Ma ni lesb, business iko dominated na wanaume.
Unaona Nicki ilivyolazimu pamoja na kuwa poa mashairi lakini lazima ashikwe mkono na wanaume.
Likewise kwa Cardi B.