Hivi ambao huwa wanasema Card B yuko vizuri kuliko Nick Minaj huwa mnatumia vigezo gani?

Hivi ambao huwa wanasema Card B yuko vizuri kuliko Nick Minaj huwa mnatumia vigezo gani?

Mie pia cardi simkubali anapewa promo kumfunika minaj tu.
 
Kuna tofauti kati kuelewa na kujua kusoma. On reference to hi mistari michache tu.
'ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!

Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid
'
They are your views not anybody's. Sasa ninavokwambia usiforce mfanane unapinga.
Kajifunze kujitambua na wewe.
Naona unataka tufanye ligi! Kama lengo ni kufosi tufanane si ningesema tu mnaoshabikia card b acheni njooni huku kwa Nick!
Kumshangaa mtu anayeshabikia kitu tofauti na wewe haimaanishi unataka wote mfanane ila inaweza kuwa njia moja wapo ya kujua kwanini amependa hicho kitu!

Na ndio maana mwisho tunachangia kila mtu kwa mtazamo wake!
Mwingine atasema nampenda nick akishirikishwa anaua! Mwingine napenda sauti yake mara mashairi yake na mwingine atasema card b napenda swaga zake nk...
 
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?

Card b anabebwa na kujisexisha sana kupitiliza na ndo maana kachukua attention kubwa ya watu ila kuhusu kipaji card B bado sana kwa nicki minaj. Pia Nicki tu naona kama vle mda wake wa kutrend umeisha lkn bado hajatokea wa kuziba pengo lake.

Radha ya mziki wa card B ni ileile tu kila siku
 
Card b ni rapper chipukizi hana ngoma ambazo unaweza ukaziweka akafunikwa nicki
Motorspot ya migos card b mbona kapotezwa na nick
yap nakubali amechange style karibu tatu za rap,pumzi ya kutosha ametisha kwenye motorsport
I💜both Nicki& cardi b
 
isèe nicki yupo vizur na card bado hajafik level zile hata kidgo maana han hits nying kiufupi bado sanaa
kingine kam ulivo sema wale shemej zake labd crew nzima ndio uwafananish na nicki
kwa kumalizia nicki level zake ni akina drake
 
yani hapo ni km wanamp tu nicki mpinzani ila card c level yake maan kulikuw hakun rapper wa kike anaebeba tuzo kil mwak zaid ya nicki
Ni kweli Mkuu ni mtazamo wangu ila Kuna wakati nahisi labda yale yale ya kumtafutia mpinzani nick.... Kama kibongo kibongo zile team mbili ila aliyevizuri anaonekana tu
 
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki nawashangaa tu wanaomlinganisha na Nick!
Kwa mtazamo wangu Nick yuko njema zaid kuliko card b na hata ukisema umuunganishe card b na wale shemeji zake(Migos crew) bado naona nick yupo juu!
Wale ambao mnafutilia mziki wa hawa wadada wawili mnasemaje?
Tunaangalia mwenye tako kubwa au mwenye boobs kubwa za plastic surgery.
 
Nick alikosa mshindani kwa muda sana ni kama wanalazimisha tu kumbeba hyu mzaramo lakini hamuwezi nick.
 
Cardi B nimemkubali kwenye taki taki na motor sport ila Nicki Minaj hana mpinzani aisee namkubali kuanzia enzi zile za moment for life na super bass na hadi kesho nitamkubali walikuja kina Iggy Azalea na M.I.A walimkuta na watamuacha
pills and portion.

I missed you sweetheart
 
Young Ma ni lesb, business iko dominated na wanaume.
Unaona Nicki ilivyolazimu pamoja na kuwa poa mashairi lakini lazima ashikwe mkono na wanaume.
Likewise kwa Cardi B.
Mwambieni aache upimbi. Kilichomsukuma awe Msagaji ni nini ?
 
Back
Top Bottom