Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 651
Ni hivi majuzi tu nimekutana na X Gf wangu wa miaka kama 20 iliyopita, amenishangaza sana kwa kuniambia eti pamoja na kuwa ni mtu mzima mwenye watoto wawili aliifurahia tendo la ndoa akiwa na mimi wakati huo na hajapata mtu aliyewahi kumfurahisha vile ikiwa ni pamoja na baba watoto aliyenaye. Kwa kweli katika ujana wetu ule ilikuwa kashfa kubwa kama utaachwa na mpenzi wako eti kwa sababu humuwezi kutoshelezana kwa hiyo unatafuta kila mbinu ya kujua hisia za mpenzi wako ziko wapi na hii ilitupunguzia sana kubadilibadili wapenzi bila sababu za msingi kama ilivyo kwa vijana wetu wa siku hizi, mitanda yao inatisha Mungu awaepushie. Je wenzangu imeshuhudia hayo?nawasilisha.