Hivi ananidanganya au!!

Hivi ananidanganya au!!

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
651
Ni hivi majuzi tu nimekutana na X Gf wangu wa miaka kama 20 iliyopita, amenishangaza sana kwa kuniambia eti pamoja na kuwa ni mtu mzima mwenye watoto wawili aliifurahia tendo la ndoa akiwa na mimi wakati huo na hajapata mtu aliyewahi kumfurahisha vile ikiwa ni pamoja na baba watoto aliyenaye. Kwa kweli katika ujana wetu ule ilikuwa kashfa kubwa kama utaachwa na mpenzi wako eti kwa sababu humuwezi kutoshelezana kwa hiyo unatafuta kila mbinu ya kujua hisia za mpenzi wako ziko wapi na hii ilitupunguzia sana kubadilibadili wapenzi bila sababu za msingi kama ilivyo kwa vijana wetu wa siku hizi, mitanda yao inatisha Mungu awaepushie. Je wenzangu imeshuhudia hayo?nawasilisha.
 
Kwa hiyo ulikumbushia au?
 
Kwanza: Jamani mwenzenu mi mgumu kuelewa, labda ungenifahamisha baada ya kukupa taarifa hizi wewe ulizipokeaje? Na ulijisikiaje kuambiwa hivyo? Ulijiona shujaa? Haufikirii kuwa huo ulikuwa mtego wa kukunasa tena baada ya miaka 20 kupita? Kwa nini nisiamini kuwa anatafuta sehemu ya kupumua baada ya kuwa na hali ya sintofahamu kwenye ndoa yake? Hukufikiria hata kidogo ubaya na madhara ya hiyo kauli? Wewe binafsi una mke kwa sasa? Na kama ndiyo, fikra zako juu ya mkeo baada ya hayo matamshi zilikuwaje?

Pili: Hapo penye bold nyekundu zamani nakumbuka tulikuwa tunaviziana kwenye kuchota maji visimani sikumbuki kama tulikuwa na muda wa kutafuta hisia, maana enzi hizo hisia zilikuwa zinakuja zenyewe tu fasta kwa wadada na wakaka! Kwa siku hizi vijana sijui wamekumbwa na nini au sijui ndo wanaboresha sana maana wamekuwa na ubunifu mpaka wa kutumia midomo, kwenda uvinza, kupuliza vuvuzela nk lakini still bado hisia zinakuwa hazitoshi, wanatumia muda mwingi kuchezea viungo badala ya kuvitumia ipasavyo ndo maana wanakuwa weak, na kuanza kuhangaika na leo huyu kesho yule, hivyo kwa hapa nakuunga mkono, lol!
Ila mzee muda huu niko usingizini sijui nitakuwa nimeropoka ....?!
 
Alikua na hamu ya kubadilisha mboga tu huyo!..
 
Ningekuwa mie ndo wewe ningeenda kujihakiki kwa mke wangu AMA gf just to make sure sijashuka kiwango cha kimataifa. Na kazi kubwa uliyonayo ni kuhakikisha umri hauathiri kwa kiasi kikubwa performance yako. Otherwise utabadili tune Punde
 
Ni hivi majuzi tu nimekutana na X Gf wangu wa miaka kama 20 iliyopita, amenishangaza sana kwa kuniambia eti pamoja na kuwa ni mtu mzima mwenye watoto wawili aliifurahia tendo la ndoa akiwa na mimi wakati huo na hajapata mtu aliyewahi kumfurahisha vile ikiwa ni pamoja na baba watoto aliyenaye. Kwa kweli katika ujana wetu ule ilikuwa kashfa kubwa kama utaachwa na mpenzi wako eti kwa sababu humuwezi kutoshelezana kwa hiyo unatafuta kila mbinu ya kujua hisia za mpenzi wako ziko wapi na hii ilitupunguzia sana kubadilibadili wapenzi bila sababu za msingi kama ilivyo kwa vijana wetu wa siku hizi, mitanda yao inatisha Mungu awaepushie. Je wenzangu imeshuhudia hayo?nawasilisha.

We mwenyewe unatudanganya
 
Kuna jambo moja napenda nikuaminishe mtoa mada ambalo mimi naliona ktk jamii inayonizunguka.
Waweza kuta mwanamke A ameolewa na mwanaume B lakini mwanamke A analidhishwa sana kimapenzi na mwanaume C,mwanaume C kwa kuwa anamlizisha mwanamke A tunategemea ingekuwa vivyo hivyo kwa mkewe lakini kwa kuwa mapenzi hayaeleweki huyu mke wa mwanaume C usistaajabu ukaona akimsifia mwanaume D ndo mtu anayeikata kiu yake ya kimapenzi.Unapoilewa concept kama hii ktk mapenzi ni vema usitilie maanani mazingira kama hayo uli/nayokutana nayo na ukawa makini na maisha yako ya ndoa tu ama mpenzi uliye naye kwa wakati huo.
 
mwanawane mke wa mtu mtamu zaidi ya asali coz anamix vionjo anavyompa mume wake na vile mlivyokua mnatumia those forgotten dayz.

But huyo anataka kukuchuuza, hana tofautii na ugonjwa wa ukoma!
 
Back
Top Bottom