Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
SimbaHivi hio Ni Timi gani?
Aibu sana!Huu upumbavu sijui utaisha lini wanasiasa wameshajua tunapenda mpira wameanza kujiingiza
I think ni kwa sababu ya sensa sioni shida yoyote wala sioni element yoyote ya usiasa hapo labda ufinyu wa kuwaza..lakini jezi ina nembo ya NMB, nembo ya sensa na Picha ya mama sasa kosa liko wapiPicha hii inaweza kukuonyesha hili ninalouliza .
Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi ?
View attachment 2317408
Picha hii inaweza kukuonyesha hili ninalouliza .
Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi ?
View attachment 2317408
Sisi tunalaani nini?Wanahamasisha sensa
Lakini pía mambo ya siasa kuingia mpirani hata huko dunia ya kwanza yapo kumbuka sakata mzozo wa Russia vs Ukraine, baadhi ya nchi na Vilabu vyao vilikuwa vikivaa nembo zenye kuonesha kulaani uvamizi wa Russia, pía hata mabango uwanjani yalikuwa mengi ktk kulaani uvamizi
Picha ya Rais inahusiana nini na soka?I think ni kwa sababu ya sensa sioni shida yoyote wala sioni element yoyote ya usiasa hapo labda ufinyu wa kuwaza..lakini jezi ina nembo ya NMB, nembo ya sensa na Picha ya mama sasa kosa liko wapi
Picha ya Rais inahusiana nini na soka ?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kama imekuudhi chapisha jezi yako muweke Mbowe Ingia nayo uwanjani
Mamake nani? Stop this nonsense....huyo ni mwanasiasa kama alivyo halima mdee....I think ni kwa sababu ya sensa sioni shida yoyote wala sioni element yoyote ya usiasa hapo labda ufinyu wa kuwaza..lakini jezi ina nembo ya NMB, nembo ya sensa na Picha ya mama sasa kosa liko wapi