Hivi anayepanga mambo haya kwenye timu zetu ni nani na huwa analenga nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Picha hii inaweza kukuonesha hili ninalouliza.

Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi?

FB_IMG_1659891464994.jpg
 
Picha hii inaweza kukuonyesha hili ninalouliza .

Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi ?

View attachment 2317408
I think ni kwa sababu ya sensa sioni shida yoyote wala sioni element yoyote ya usiasa hapo labda ufinyu wa kuwaza..lakini jezi ina nembo ya NMB, nembo ya sensa na Picha ya mama sasa kosa liko wapi
 
Hawa wamevaa Rais wa nchi sio vibaya sana, tatizo wale waliomuita bwana matrafiki barabarani! Kuwa mgeni rasmi
 
Picha hii inaweza kukuonyesha hili ninalouliza .

Ni nchi gani nyingine duniani ambayo Timu zake za soka zinafanya hivi ?

View attachment 2317408

Wanahamasisha sensa

Lakini pía mambo ya siasa kuingia mpirani hata huko dunia ya kwanza yapo kumbuka sakata mzozo wa Russia vs Ukraine, baadhi ya nchi na Vilabu vyao vilikuwa vikivaa nembo zenye kuonesha kulaani uvamizi wa Russia, pía hata mabango uwanjani yalikuwa mengi ktk kulaani uvamizi
 
Sisi tunalaani nini?
 
I think ni kwa sababu ya sensa sioni shida yoyote wala sioni element yoyote ya usiasa hapo labda ufinyu wa kuwaza..lakini jezi ina nembo ya NMB, nembo ya sensa na Picha ya mama sasa kosa liko wapi
Picha ya Rais inahusiana nini na soka?
 
Kwani wewe huwezi anzisha kitu chako hadi uone kwanza Kwa wengine? Unatakiwa ijue kuwa hao wengine pia wanaweza kuiga kutoka kwako.
 
I think ni kwa sababu ya sensa sioni shida yoyote wala sioni element yoyote ya usiasa hapo labda ufinyu wa kuwaza..lakini jezi ina nembo ya NMB, nembo ya sensa na Picha ya mama sasa kosa liko wapi
Mamake nani? Stop this nonsense....huyo ni mwanasiasa kama alivyo halima mdee....
Tulisha jichokea na siasa zisizobadilika so tunajiliwaza kwenye soka nako mnazengea....mkoje lakini
 
Back
Top Bottom