Hivi Antony Mavunde huwa ana nafasi gani pale Yanga?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Habari mwana jukwaa la sport.

Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde.

Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona mda wachezaji hawa msemi hata Kocha aliempa nafasi ila ana mtaja Mavunde.

Hivi huyu Mavunde ni kama Nani pale Yanga usiniambie ni mjumbe wa bodi ya wadhamini....No lazima atakua na Cheo kingine au ndie hua ana kamilisha sajili zote sisi tunakuja tunasifia Khersi?
 
Hata mimi huwa najiuliza hilo swali mkuu, nahisi jamaa ana kitengo nyeti kweny timu
 
Baba yake ni MCmaarufu pale dodoma,na babu yake ni mganga maarufu sana kule mvumi,ndio ameshikiliamikoba ya timu
 
Habari mwana jukwaa la sport.

Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde.

Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona mda wachezaji hawa msemi hata Kocha aliempa nafasi ila ana mtaja Mavunde.

Hivi huyu Mavunde ni kama Nani pale Yanga usiniambie ni mjumbe wa bodi ya wadhamini....No lazima atakua na Cheo kingine au ndie hua ana kamilisha sajili zote sisi tunakuja tunasifia Khersi?
Executive rais.
 
Back
Top Bottom