THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Hata mimi huwa najiuliza hilo swali mkuu, nahisi jamaa ana kitengo nyeti kweny timuHabari mwana jukwaa la sport.
Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde.
Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona mda wachezaji hawa msemi hata Kocha aliempa nafasi ila ana mtaja Mavunde.
Hivi huyu Mavunde ni kama Nani pale Yanga usiniambie ni mjumbe wa bodi ya wadhamini....No lazima atakua na Cheo kingine au ndie hua ana kamilisha sajili zote sisi tunakuja tunasifia Khersi?
Executive rais.Habari mwana jukwaa la sport.

It might beExecutive rais.
Haa aiseeBaba yake ni MCmaarufu pale dodoma,na babu yake ni mganga maarufu sana kule mvumi,ndio ameshikiliamikoba ya timu