Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Salam kwa jina la misosi,
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika zamani.
Sasa ili apple nilinunua mwezi wa saba kwenye tarehe kumi naa huko, uvivu wangu wa kula kama kawaida nikaweka kwenye kitenga jikoni kila nikipita nasema ntakula kesho ntakula kesho mpaka sasa ninapoandika uzi huu.
Kumbuka halipo kwenye friji lakini kwa muda wote huo halina hata dalili ya kuharibika, limebadilika rangi kidogo lakini kama mnavyoliona ni zima kabisaa!
Huwa yanatiwa nini kuweza kukaa muda mrefu hivi bila kuharibika, imefanya nijiulize kemikali tunazoingiza mwilini kwa jina la kula healthy!
Pia soma: Kwanini matumizi ya Mbolea za Kisasa katika nchi za Afrika ni lazima ikiwa nchi za Ulaya wanatumia Samadi?