mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Duh!hiko kichwa cha chini hatari,kwa hiyo umeacha kuwaza apple mawazo yameenda kwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!hiko kichwa cha chini hatari,kwa hiyo umeacha kuwaza apple mawazo yameenda kwingine
Ulitaka Tuone vidole vyako siyo!Salam kwa jina la misosi,
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika zamani.
Sasa ili apple nilinunua mwezi wa saba kwenye tarehe kumi naa huko, uvivu wangu wa kula kama kawaida nikaweka kwenye kitenga jikoni kila nikipita nasema ntakula kesho ntakula kesho mpaka sasa ninapoandika uzi huu.
Kumbuka halipo kwenye friji lakini kwa muda wote huo halina hata dalili ya kuharibika, limebadilika rangi kidogo lakini kama mnavyoliona ni zima kabisaa!
Huwa yanatiwa nini kuweza kukaa muda mrefu hivi bila kuharibika, imefanya nijiulize kemikali tunazoingiza mwilini kwa jina la kula healthy!
Pia soma: Kwanini matumizi ya Mbolea za Kisasa katika nchi za Afrika ni lazima ikiwa nchi za Ulaya wanatumia Samadi?
Unapoweka andiko hadharani ni haki ya hadhira kuchangia! Kama unaogopa michango usiyoitaka acha kuandika. Ukiandika kubali michango ya kila lahajaSi kila mtu anawaza ujinga kama wewe Mkuu, kama huna cha kuchangia unapita tu kimya kimya
Mkuu bwana, yaani clearly unatoka nje ya mada na bado unatetea upuuzi🤦♂️🤦♂️, haya endelea kukagua vidole ulete uziUnapoweka andiko hadharani ni haki ya hadhira kuchangia! Kama unaogopa michango usiyoitaka acha kuandika. Ukiandika kubali michango ya kila lahaja
Usitishwe bure. Hakuna kitu kama hicho. Sana sana yanakuwa bio-engineered ili yaweza kukaa kwa muda mrefuKwanza ni vizuri tujue kuwa apples ni kama tunda geni kwenye nchi yetu. Nchi zilizoendelea apples ni kama matunda asili na yanaliwa kweli kweli kweli. Lakini hakuna side effects zozote na watu wana afya nzuri tu. Unajua yale maparachichi yanayouzwa Ulaya? Hata yale yanadumu muda mrefu tofauti na haya makubwa.Imebidi nikagugo, kwahiyo tunakula solutions wanayopakwa maiti ili zisiharibike, hii ni hatari🤯
Usitake kila mtu aone andiko kama unavyotaka! Nasisitiza kama hutaki michango inayokinzana na matakwa yako, acha kuandika. After all haikuwa na ulazima kuambatisha picha. Kwa Jicho lingine tunadhani una lengo jingine maana hata hapa JF wapo. Usisahau umekiri kuwa unaishi pekee. Niendelee kudadavua au niachie hapo?Mkuu bwana, yaani clearly unatoka nje ya mada na bado unatetea upuuzi🤦♂️🤦♂️, haya endelea kukagua vidole ulete uzi
Bila ya kukaa kwenye friji? Kuna wakati nilisikia sikia kuwa yanalimwa huku na kisha kusafirishwa Afrika Kusini then tunakuja kuuziwa tena, sina uhakika though kama ni kweli au lah!Usitishwe bure. Hakuna kitu kama hicho. Sana sana yanakuwa bio-engineered ili yaweza kukaa kwa muda mrefuKwanza ni vizuri tujue kuwa apples ni kama tunda geni kwenye nchi yetu. Nchi zilizoendelea apples ni kama matunda asili na yanaliwa kweli kweli kweli. Lakini hakuna side effects zozote na watu wana afya nzuri tu. Unajua yale maparachichi yanayouzwa Ulaya? Hata yale yanadumu muda mrefu tofauti na haya makubwa.
Mkuu endelea kuchambua vidole👐👐🤦♀️Usitake kila mtu aone andiko kama unavyotaka! Nasisitiza kama hutaki michango inayokinzana na matakwa yako, acha kuandika. After all haikuwa na ulazima kuambatisha picha. Kwa Jicho lingine tunadhani una lengo jingine maana hata hapa JF wapo. Usisahau umekiri kuwa unaishi pekee. Niendelee kudadavua au niachie hapo?
Hakuna ukweli wowote mkuu. South Afrika ni nchi nzuri sana kwa kulima apples na wanalima kitaalam haswa. Kwa kifupi niseme Ulaya wako makini sana na usalama wa vyakula. Ogopa vyakula vya Bongo kwa sababu kuna watu wanyama sana na wanafanya chochote kwa sababu hakuna usimamizi wa kutosha. Labda uniambie hayo ma apples kuna namna wanayafanya hapo hapo Bongo? Sijui.Bila ya kukaa kwenye friji? Kuna wakati nilisikia sikia kuwa yanalimwa huku na kisha kusafirishwa Afrika Kusini then tunakuja kuuziwa tena, sina uhakika though kama ni kweli au lah!
Japokuwa linalosemwa lipo, kama wanavyotumia cocktails za madawa kuweka kwenye mazao mpaka hakuna mdudu anayesogea au madawa wanayopewa kuku ili wanenepe na huku kutakuwa hakuna kibaya kinachofanyika kama wadau wanavyosema?
Kuna wadau hapo juu wamesema inawekwa hiyo, nakumbuka enzi za Magu iliwahi kuzuka hili upande wa samakiHakuna ukweli wowote mkuu. South Afrika ni nchi nzuri sana kwa kulima apples na wanalima kitaalam haswa. Kwa kifupi niseme Ulaya wako makini sana na usalama wa vyakula. Ogopa vyakula vya Bongo kwa sababu kuna watu wanyama sana na wanafanya chochote kwa sababu hakuna usimamizi wa kutosha. Labda uniambie hayo ma apples kuna namna wanayafanya hapo hapo Bongo? Sijui.
Wana medical technology kubwa pia huduma za matibabu ni za uhakika. Hapa bongo maralia tu au UTI inakuondoaMbona wao wanaokula hayo madudu yenye sumu wana life span kubwa kuliko mnaosema tule vitu vya kienyeji...
Upo sahihi hata hospital zao hakuna harufu ya dawa kama kwetu..Wana medical technology kubwa pia huduma za matibabu ni za uhakika. Hapa bongo maralia tu au UTI inakuondoa