Hivi apple huwa zinatiwa nini? Nina apple limekaa zaidi ya mwezi lakini halina hata dalili ya kuoza!

Wana life span kubwa Kwa kutibiwa Kansa Kila siku
Mkuu mimi naishi hizi Nchi na Tanzania narudi karibu kila mwezi taarifa za magonjwa hapo jaribu kwenda kwenye hizo hospital za mikoa au kanda au ujaribu kwenda hata kununua dawa baadhi ya ward ukagawe hapo utajua ila ukiwa hapa unachart utaona watu wapo salama sana..
 
Mbona wao wanaokula hayo madudu yenye sumu wana life span kubwa kuliko mnaosema tule vitu vya kienyeji...
Ni kweli wanakula hayo? Au haya yanatufikia huku pekee? Ukizingatia apple ni tunda linalochukuliwa kama anasa kibongo kibongo hata sumu zitakuwa kwa watu wa aina fulani
 
Life expectancy inakuwa calculated na vitu vingi, sio tuu milo
Chakula bora ndio msingi wa watu wa eneo hilo kuwa na Maisha marefu vitu vingine vinafata kama hauwezi kuwa na chakula bora hauwezi kulala sehemu nzuri sisi tupo kwenye kuhimizana kutumia vyoo mambo ya chakula si yapo mbali sana tutakua na maisha wakati swala la sukari na mafuta tu ni tatizo..
 
Ni kweli wanakula hayo? Au haya yanatufikia huku pekee? Ukizingatia apple ni tunda linalochukuliwa kama anasa kibongo kibongo hata sumu zitakuwa kwa watu wa aina fulani
Japan wana vitu vya kutunza Matunda yanayoweza kukaa miaka zaidi ya 15 mpaka 20 na akili wanazo kuliko sisi ambao tunaua Wazee kwa mambo ya kijinga jinga sijui siasa na upuuzi mwingine..
 
La
Lab
Labda dawa ya kuhifadhi maiti wamechoma ya miezi 4
 
Japan wana vitu vya kutunza Matunda yanayoweza kukaa miaka zaidi ya 15 mpaka 20 na akili wanazo kuliko sisi ambao tunaua Wazee kwa mambo ya kijinga jinga sijui siasa na upuuzi mwingine..
hayo matunda hayana madhara yoyote kiafya ukilinganisha na haya ya kawaida yasiyotunzwa kwa hizo njia?
 
Kwaio unabisha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…